Tabia ya wadada hawa huwa naishangaa sana

dee a jay

Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
54
Reaction score
24
Pole na majukumu wakuu zangu. Unakuta mdada sura nzuri,anang'aaa lakini akitembea mtaani anatembea kwa wasiwasi na kupepesa macho pembeni na kujiangalia nyuma mda wote
Swali hivi mnavojiangalia nyuma hua mnahakiki plate number mlioifunga isije kudondoka???
 
hasa kwenye majengo yenye vioo vya U CANT SEE BUT I CAN SEE U..
utaona wanapita kwainje wanahakiki misambwanda bila kujua ndan tuna waona...

Umenikumbusha hii kitu ya kuchunguliwa kwenye vioo

Hiyo mambo ilishaga wahi kunitoke aiseee!!

Nilikuwa napita chocho fulani hivi hapa kitaani kwetu nikawa nimebanwa kukojoa

Nikageuka mbele na nyuma ili kuangalia kama kuna mtu anaweza kuniona

Sikuoni mtu yoyote yule na nikajiaminisha kuwa hakuna mtu atakayeweza kuniona

Nikafungua zipu ya suruali then nikatoa dushe nikaanza kukojoa

Wakati wa kukojoa nililiachia dushe na mikono mkojo ukawa unatoka kama kawaida tu

Kumbe bhana wakati nakojoa hivi kuna mdada alikuwa ananichungulia kupitia dirishani na kimbaya zaidi dushe nimelielekeza kwake

Yaani aliangali mchezo wote aiseee!!

Huyo mdada namjua/tunajuana sababu tunaishi kitaa kimoja

Mida ya usiku ananikutumi text ya Mambo Elly

Nikamjibu poa vipi Valentina hujambo

Akajibu hajambo

Tuliendelea kuchati muda huo ndo akafunguka kuwa aliniona mida fulani hivi nakojoa.

Duh!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] niliishiwa pozi

Ila alinisifia kuwa nina dushe la haja na lililotukuka na linafaa kwa matumizi ya binadamu(Yeye) sababu ameona.
 
Noted[emoji736]
Dushee la haja
 
Wamekuwa wafanyabisha haramu ya magendo, na wapiga dili wakubwa ndo maana hawajiamini, eti ukimtongoza anajifanya hataki!... Kha..! Aende tu akapumzike kwa amani"

Na kuna wengine humu eti wanatafuta mume,
Wenye nia ya dhati ukim-PM hajibu!
 
Hana aisee ivi vioo tinted ni nouma sana
 
hasa kwenye majengo yenye vioo vya U CANT SEE BUT I CAN SEE U..
utaona wanapita kwainje wanahakiki misambwanda bila kujua ndan tuna waona...
Yaani hawa watu mkuu ni sheedah kuhakiki plate number si home sasa mpaka barabaran
 
Kwan nyie mmenyimwa kujiangalia??
Sasa hapo kila kitu kinamalizika home kucheki sharubu sana sana sasa nyie sio face tuu ukucha wa kidole cha mguu mpaka nyele ya mwisho na pia nyuma mbele hamushii hapo bado mnahakiki mpaka barabaran oneni nouma
 
Wamekuwa wafanyabisha haramu ya magendo, na wapiga dili wakubwa ndo maana hawajiamini, eti ukimtongoza anajifanya hataki!... Kha..! Aende tu akapumzike kwa amani"

Na kuna wengine humu eti wanatafuta mume,
Wenye nia ya dhati ukim-PM hajibu!
Hawa watu mkuu washanishindaga yaaani nikipiga natupaga kapuni ukijifanya kujenga kujenga kibanda utaumia bure hahahaa
 
Sasa si ungemjibu aje geto fasta alitumie.. au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…