P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako.
Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni wizi wa Taarifa Binafsi na Ulaghai. Mwisho wanakupeleka dirishani ukatiwe tiketi ila sasa unakuta umeshapoteza muda na umesajili line ya AzamPesa bila kuridhia.
Mamlaka ishughulikie hili.