pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Kutongozana kumepitwa na wakati wewe.
Its the issue of communicating emotionally.
pia matusi ruksa.
😂 😂 😂 😂Angalia "telemundo' kwa sana halafu mvae macho makavu na broken inglishi yako "yu know wat,luv yu ver ver much" mzigo lazima uung'oe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa chako kama firigisi ya kuku, hakuna chochote ndani ya firigisi bali mchanga tu.
Wewe unawaza ngono tu kama Nyegere mtu gani wewe!![emoji16][emoji16], umekwenda ulaya kufanya umalaya bila haya??.
Wakuu habarini,
Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao.
Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida.
Unaweza mwambia tuvue nguo tukaogelee anakubali,kumshika shika anakubali kuchati anachati lakini ukimtongoza tu anakata na mawasiliano na wewe.
Kwa watu mlioishi nao sana hawa watu weupe wapoje kuhusu mapenzi????
Karibuni wakuu kwa ushauri,pia matusi ruksa.
Kichwa chako kama firigisi ya kuku, hakuna chochote ndani ya firigisi bali mchanga tu.
Wewe unawaza ngono tu kama Nyegere mtu gani wewe!![emoji16][emoji16], umekwenda ulaya kufanya umalaya bila haya??.
Mbona naona wao ndo hutongoza?
Nielekeze Mzee babaWakuu habarini,
Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao.
Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida.
Unaweza mwambia tuvue nguo tukaogelee anakubali,kumshika shika anakubali kuchati anachati lakini ukimtongoza tu anakata na mawasiliano na wewe.
Kwa watu mlioishi nao sana hawa watu weupe wapoje kuhusu mapenzi????
Karibuni wakuu kwa ushauri,pia matusi ruksa.
Nimeshindwa kumwelewa huyu jamaa. sijui ana umri gani?Sasa mtu --umesha mshika shika kiasi hicho. ..Halafu una Anza kumtongoza. ..Si utaonekana mwehu. ..Wewe jamaa wa wapi aise...
Yaani mtu mpaka nguo anavua ana kuruhusu umpapase --halafu una Anza kumtongoza tena? ?.....Dah! !!umenikera sana jamaa yangu