Itakuwa form 1 huyu. .wapo likizoNimeshindwa kumwelewa huyu jamaa. sijui ana umri gani?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sasa mtu --umesha mshika shika kiasi hicho. ..Halafu una Anza kumtongoza. ..Si utaonekana mwehu. ..Wewe jamaa wa wapi aise...
Yaani mtu mpaka nguo anavua ana kuruhusu umpapase --halafu una Anza kumtongoza tena? ?.....Dah! !!umenikera sana jamaa yangu
MEDICAL TEST STDSWakuu habarini,
Nipo maeneo ya wazungu sana kila kona nakutana nao.
Nimejaribu kuwatongoza lakini wengi wanakataa ila ukimwambia vingine anakubali tu bila shida.
Unaweza mwambia tuvue nguo tukaogelee anakubali,kumshika shika anakubali kuchati anachati lakini ukimtongoza tu anakata na mawasiliano na wewe.
Kwa watu mlioishi nao sana hawa watu weupe wapoje kuhusu mapenzi????
Karibuni wakuu kwa ushauri,pia matusi ruksa.