Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
huna sitiDaladala za huku bila kuingilia dirishani ndio basi tena.
na harufu ya mdomooSisi daladala za huku makonda ni wachafu balaa, hasa ile hasabuhi una kuta ndiyo kaamka na mahangover ya vile vipombe vina itwa (diamond)
Basi ikifika time ya kuchukua nauli akikurabia hivi unaweza ukazimia kwahiyo harufu ya
Pombe+majasho.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] AisehhKuna daladal nilipanda yan lami unaiona kabis kw upande wangu nlikua naiona na chasis chin lipo tupu kbc unakanyag kw uangalifu kbc
🤣🤣🤣🤣Nilishawah tembelea mkoa wa tanga aisehh zile hiace za mjini zina mziki mkubwa kitu kinu kile mdundo wa kutosha na wanaweka sauti mpaka mwisho hii ni kero kwangu sana na kwangu ni kubwa sana
🤣🤣🤣Kuna daladal nilipanda yan lami unaiona kabis kw upande wangu nlikua naiona na chasis chin lipo tupu kbc unakanyag kw uangalifu kbc
🤣🤣🤣🤣Masaki-kakoo
Hizi daladala Kero kubwa ni kukaa kituoni zaidi ya 30mins,
Ukipanga safari yako,unaongeza dakika 30 au 40 za kupoteza vituoni.
Ndio yale mnayaita mwendo kasi sijui🤣🤣Huku kwetu kuna haya mabasi ya bluu ambayo hayana kondakta na yanapita kwenye njia zake pekee,ukikaa kituoni kusubiri gari dk 45 ni jambo la kawaida.
manina🤣🤣🤣🤣Huku kwetu daladala ikipiga tuta, mnashuka konda anapanga seat kwanza!!
Halafu mziki wenyewe wanapiga taarabu tu.Nilishawah tembelea mkoa wa tanga aisehh zile hiace za mjini zina mziki mkubwa kitu kinu kile mdundo wa kutosha na wanaweka sauti mpaka mwisho hii ni kero kwangu sana na kwangu ni kubwa sana