Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili

Thanks mwana

wajuvi walishagundua... ngoja tu yatareveal yote, nasubiri tu

two down a few more to go

BTW, FF is avoiding me and one can know alot by just checking the login time of your suspects

LOL

Bro, you know me... freedom of choice must be defended!!


Time of posting, Yes. Logging times, very iffy - Easily circumvented by minor tools!!!! Trus' me bredrin, 'know this issh in 'n out...
 
Aseee!Tafakari, chukua hatua'
 
Hahahaha...MTM punguza uchokozi bro!
dogo... we acha tu, sometimes wanakosea wengine unakuta anamjibia mwenzake

kazi utakua... "last edited by" ujue tayari movie iliingia maji

funny though
 

Walete niwafanyie Maombi
 
dogo... we acha tu, sometimes wanakosea wengine unakuta anamjibia mwenzakekazi utakua... "last edited by" ujue tayari movie iliingia majifunny though
Hahahhah...kweli RAHA YA UONGO KUMBUKUMBU!!Alafu hivi vimethali vya kizushi sijui vinanijia kutoka wapi leo!!
 
mchungaji masanilo (bahati mbaya yupo kifungoni) aliwahi kukiri ana Id`s sita humu JF nyingine za kike... na kuna wazinzi wanarusha ndoano.... kaaz kweli kweli
 
na wanaoweka avatar ya wanyama ...dalili /wanaashiria nin?
Hili nalo neno jama!!! Kuna wanaoweka avatar za ajabu kabisa,, basi tutoe conclusion kwamba kila anayeweka avatar, ajue kwamba ana tabia za jinsi hiyo. Ni hilo tu
 
baelezeye mkuu, wengine twawajua ati'
Uzoefu unaonesha kwamba wale wanaume wanaopenda kujidai "rijali" na kutumia mabavu mabavu ndiyo chakula rahiiisi kwelikweli. Kelele zote ni kujaribu ku cover up huo u-bwabwa walio nao. Hapa yawezekana hata mtoa mada akawa chochote. Inatia shaka
 

heheeh kamanda kula tano!

kuna siku kuna kajamaa (jina lake la kike tunalo), kalijileta PM yangu na hata kapost kamoja hakana ukumbini, halaf PM yake ya kwanza eti kananiambia "honey leo nimevaa kufuli la pinki ,unataka kuliona?" (mwsho wa kunukuu),khaaaa! mtu mzima nikapima na kubalance nikaona hili kama si b w a b w a basi ni changa la macho. hehehe Nashkuru mungu alinipa ujasiri wa kuliignore yeye na kufuli lake la pinki.

Conclusion:

Kwangu mimi haiingii akilini mwanaume rijali kujibebesha ID la kike.
nimemaliza
 
Uzoefu unaonesha kwamba wale wanaume wanaopenda kujidai "rijali" na kutumia mabavu mabavu ndiyo chakula rahiiisi kwelikweli. Kelele zote ni kujaribu ku cover up huo u-bwabwa walio nao. Hapa yawezekana hata mtoa mada akawa chochote. Inatia shaka
Yeahhh kama wewe unavyotia shaka....
 
Kloro hujambo?!Kazi umepata?!Kwa rafiki yako umehama?!Leo umekula?!Nauliza kwasababu najali....missed ya!!
Khaaaa! inaonekana hata BBC haupati kwenye TV yako? angalia BBC mama itajibu kwa niaba yangu. mimi sio mswahili tena bana, hapa naandika kiswahili ili kumpa ujiko nyerere tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…