Na unakuta baadhi ya hawa hawa wanadamu wanatupa watoto, so kuna ambao wanazidiwa akili na kukuLakini mwisho wa yote anajua kulinda na kutunza wanae
Leo umejitahidi kuandika point dogo. Keep it up na achana na mambo ya kupost habari za ushirikina.-Mwisho wa namba ni moja, akiwa na mayai kumi ukayaondoa yote hatagi tena ila ukimbakishia moja ataendelea
-Akitaka kuangalia juu lazima jicho moja liangalie chini
-Akitaka kusikiliza kitu lazima ageuze shingo kuweza kunasa mawimbi ya sauti
-hana kumbukumbu ya jana, akiamka uelekeo akaokwenda ndio huohuo
-ukimpiga kidogo tu kichwani anapoteza mwelekeo wote na kuchanganyikiwa kabisa
- Hawezi kurudi rivasi hata kwa fimbo
Mtu akikwambia una akili kama za kuku msamehe tu kwakuwa hajui alisemalo
Maandiko yanasema kuna baadhi ya binadamu akili na matendo yao ya kijuha ni zaidi ya wanyama japo tunajiona bora kuna watu wengi wanashindwa ustaarabu na wanyama.-Mwisho wa namba ni moja, akiwa na mayai kumi ukayaondoa yote hatagi tena ila ukimbakishia moja ataendelea
-Akitaka kuangalia juu lazima jicho moja liangalie chini
-Akitaka kusikiliza kitu lazima ageuze shingo kuweza kunasa mawimbi ya sauti
-hana kumbukumbu ya jana, akiamka uelekeo akaokwenda ndio huohuo
-ukimpiga kidogo tu kichwani anapoteza mwelekeo wote na kuchanganyikiwa kabisa
- Hawezi kurudi rivasi hata kwa fimbo
Mtu akikwambia una akili kama za kuku msamehe tu kwakuwa hajui alisemalo
Hawezi kurudi tena. Naona umegundua uongo wake.Si kweli Mkuu! Tabia hizi 3 Za kuku Zinakinzana na Suala La Kusahau Ya Jana
1:Kutotaga tena endapo utatoa mayai yake yote(Inadhihirisha Yuko Makini na anachofanya)
2:Kurudi Nyumban
3:Kutunza watoto wake hata ukiwafcha ataishi kwa kutahamaki
Jigo
mbona anatabia fanana sana na nyumbu!-Mwisho wa namba ni moja, akiwa na mayai kumi ukayaondoa yote hatagi tena ila ukimbakishia moja ataendelea
-Akitaka kuangalia juu lazima jicho moja liangalie chini
-Akitaka kusikiliza kitu lazima ageuze shingo kuweza kunasa mawimbi ya sauti
-hana kumbukumbu ya jana, akiamka uelekeo akaokwenda ndio huohuo
-ukimpiga kidogo tu kichwani anapoteza mwelekeo wote na kuchanganyikiwa kabisa
- Hawezi kurudi rivasi hata kwa fimbo
Mtu akikwambia una akili kama za kuku msamehe tu kwakuwa hajui alisemalo
We ni muongo. Eti unasema kuku hakumbuki ya jana. Mbona leo ukiondoa mayai yake yote kesho anaacha kutaga. Acha uongo.Kumbe bado una akili kama za kuku
Wewe jibu swali la jamaa hapo juu. Usijivurugize.Ndio maana una akili kama zake
ANASAHAU KAMA ALIKUWA ANATAGA,SASA UWEPO WA YAI MOJA NDIO HUMKUMBUSHA SEHEMU YAKE YA KUTAGIA.We ni muongo. Eti unasema kuku hakumbuki ya jana. Mbona leo ukiondoa mayai yake yote kesho anaacha kutaga. Acha uongo.