The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Mi sio mwanamke tafadhaliunaonekana hujaolewa wewe wivu umekujaa
Mi sio mwanamke tafadhali
HAHAHAHAHAH mAMBO YA DAR HAYOunaonekana hujaolewa wewe wivu umekujaa
Bora umesema wewe khaaa...kwani mtu kuolewa na kupost pic kwenye social media kunahusianaje...Ana wivu huyuunaonekana hujaolewa wewe wivu umekujaa
Hila mwanaume Wa darMi sio mwanamke tafadhali
Watu wa mikoani wanamatatizo sanaWA MIKOANI MNA MAJUNGU MMEANZA NA WANAWAKE MMEMALIZA YA WANAUME
Hao niwale wezi wa wanaume wawatu,na wasio jiamini,kama mume wako mrututu wa ndoa unaupata weweZamani mtu akiolewa humskii kama week hivi au mwezi ana honey munika. Sikuhizi harusi leo kesho ndio wa kwanza kuamka kabla yako unakutana mapicha Instagram.
Yaani usiku wa honeymoon, saa kumi na moja kesha amka...na ma post yake ...."thank you lord", "mashosti sina cha kuwalipa", "hes besides me now", "my hubby is handsome than yours", "man on top" etc
Hivi kwenye kitchen party ndivyo mnavyofundishwa?
Dada ajifungue sasa, labour katoka saa moja asubuhi saa sita mchana picha ya mtoto ipo insta kitamboooooo.
Ni hayo tu,
WA MIKOANI TATIZO WANA WIVU wanalima ndizi kubwa kubwa dar vilivyosinyaa ndo wanakula wivu hawaWatu wa mikoani wanamatatizo sana