CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Anaingia akiwa timamu, Busara na hekima za hali ya juu lakini kadri muda unavyoenda sasa[emoji116]
Binti yangu Hujambo? Naomba niletee bia.(ya kwanza)
Dada njoo naomba ya pili
We Mhudumu, lete bia
Weeweee unatingisha tako nini? Lete bia hapaa
We mbwa, nikuite mara ngapi?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]