Bia tamuSio kweli
Mwalafyale hahahaaaaaInategemeana na mtu, mi nakuwaga mstaarabu mpka mwisho cha zaidi naweza omba namba [emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwalafyale hahahaaaaa
[emoji1][emoji1][emoji1]Hahahah wengine akifika ya 7 ndo anaona kila mhudumu ni pisi kali