Tabia za wana JF wenzetu

Tabia za wana JF wenzetu

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
@gentemycine - u mach noo mwingi. Kujiona yeye bora kuliko wengine na mashauzi ya hapa na pale.
FaizaFoxy- udini, u CCM na ujuaji mwingi.
mshana jr- hamble, intelligent and gentleman
BAK, - very calm and wise
Sky Eclat- wise and intelligent, good listener
HR 666- utoto mwingi, na kusumbua watu PM
Miss Natafuta- mjanja sana, Mtoto wa mjini
lara 1- Bonge LA story teller
 
@wasioipendaserikaliyaawamuhii - wamejaa maneno machafu na hasira mbaya.

Naamini hata nyuso zao zinazeeka haraka
 
Tobaa weeee... kidogo nifikiri list ya wauza unga! nilivyosoma tena kichwa habari kumbe sivyo! dah! ngoja nipunguze kula sana ugali!
 
Mbona wewe hujatoa hata hint moja kukuhusu hahhh
 
Back
Top Bottom