Tabia za wana JF wenzetu

na mimi umenisahau hapo kunitaja [HASHTAG]#Official[/HASHTAG] Bindira kijana mpole asiependa makuu
 
Hv nazjaz ulishawahi kaa mby...enzi za kina sogy doggy hunter...len makaya...nacaband ..kambox / kambasonic...nakaband...brigadia mwakayugu.ras jeff kapita.....big dog pose..wise dog...biz bab...nyanzobe???mr two.....enzi hizo tunamwita too claud.....akina sunday....joff mwafongo ...na masela kibao
 
nawe pia badala ya kufanya mambo ya Muhimu unajadili watu-----WEAK MIND
 
HR666 nakuunga mkono anautoto kweli hadi mm nimemblock nakuunga mkono asilimia 2000 kunywa Serengeti lite KP nakuja kulipa
 
Lini hiyo [emoji23] [emoji23]

Sijajua kwa nini lakini katika watu ambao huwa nawakalia mbali humu jf huyu naye mmoja wao mana ana maneno makali hadi unaweza ukajiwazia kutwa nzima.
Halafu huwa hajali kabisaa anachoandika...
 
@wasioipendaserikaliyaawamuhii - wamejaa maneno machafu na hasira mbaya.

Naamini hata nyuso zao zinazeeka haraka
Wahusika wa serkali hii ndio wanaozeheka haraka,maana muda ote wanawaza kuwakomoa wanaowakosoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…