Tabia za wanaume wafupi

Wewe unayejiita Agata edward inaonekana akili yako inafanana Lusinde,mbunge wa Mtera! Kuliwa uliwe wewe alafu unakuja na thread za ajabu! Ukome
 
Pia nimeonaa hii mikoa mbali mbali mbalimbali, Wanaume wafupi wako prone kupigwa na wake zao, ikiwa kutatokea mtafaruku ndani ya nyumba. especially wale wanaopenda kuoa ma Big momma! wakiwa na nia ya ku-upgrade their progeny ili kuget rid their genetically dwafism.

Pia jambo baya nisingependa kulisema ni kwamba; wafupi
Wanadharaulika sana na jamii kwa ujumla wake, ..is like wanajua hilo na wao wanajikuta hawajikubali ndio maana wana behave very cocky!


Size matters
 

Hee kumbe kuna wanyama hawapendi wanawake warefu!!?
 

Ohoo jamaa ashakujibu hapa, twende kazi lete maneno
 
gubu, ujuaji, visilani, zarau, wagomvi -izo ni baadhi ya tabia zenu siwachukii ila ukweli lazima niwambie

Uwe mfupi, mrefu, mwembamba au mnene tabia ya mtu aiwezi kuwa detimined na umbo au muonekano wa mtu.
Ila mimi katikati ya mapaja ni mrefu balaa.🙄
 
Wanaubishi wenye tija na visilani vyao Vina tija hawakurupuki ila ni mabahiri afu matajiri......
 
wafupi wamezid tabia nyingine wachoyo
ni mfupi huyo aliyekugegeda tu ndo mchoyo, wafupi wengi kwa taarifa yako si wachoyo, wanapenda sana kuhonga na kutoa toa vitu ili waonekana na wao watu wa kawaida kufunika ufupi wao. wafupi wengi wanapenda kujipendekeza na watoaji sana wa fedha na kila kitu na wengi wana mafanikio. sema tatizo lao ndio hilo tu "ufupi" na infiriority complex, ila kwa mambo mengine ni wazuri kuliko warefu.
 
Wanaume wafupi dongo hiloo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…