Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Jun 9, 2011 Thread starter #21 Dr.Chichi uko sawa lakini wataalam wanapotoa mambo kama haya waliyofanyia resarch wanachukua namba kubwa na aina ya umri yenye tabia hiyo,wanaweza wakawa wapo wengine wenye tabia tofauti lakini ni wachache sana!
Dr.Chichi uko sawa lakini wataalam wanapotoa mambo kama haya waliyofanyia resarch wanachukua namba kubwa na aina ya umri yenye tabia hiyo,wanaweza wakawa wapo wengine wenye tabia tofauti lakini ni wachache sana!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Jun 9, 2011 Thread starter #22 King'ast starehe ninazozizungumzia ni zile ambazo wakati mwingine huitwa ANASA!