maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Hawajakukazia wewe wakikuzia lazima utoeHao jamaa hawawezi pata hata 500 yangu.
Tena hao ukiwakuta vijiweni ndio wa kwanza kuisifia CCM na kusema inaleta maendeleo then baada ya hapo anakuomba umpe 500..
Inabidi uwanyime ili waone ugumu wa maisha kwenye chaguzi nyingine wasidanganywe na kanga ,kofia na buku 5 wanazopewa
Wale usipokua making wanakuchapaKingine kinachokera ni wale jamaa wa stendi wanaojiita wapiga debe...
Yaani eti kukushika mkono kukupeleka ofisini umpe buku.. how??
Kwani kuna mtu anaenda hadi stendi kukata tiketi hajui anaenda sehemu gani au anapenda basi gani??
Mimi wale hata sitakagi kuongea nao.
Unakuta jitu kubwaaa linataka pesa ya kirahisi rahisi
Mkuu nina mwaka wa 3 huu sijatoa hata mia kwa mtu wa mtaani..H
Hawajakukazia wewe wakikuzia lazima utoe
Hivyo videmu ndio vinaudhi mpk basi! Mkifahamiana tu, baada ya siku moja utasikia my nikwambie kitu? Olewako ujichanganye ujibu niambie! Ujue kirungu kinakuja cha elfu 20,30 au 40tabia zinazonikera ni hawa wanawake ukichat nae siku mbili anataka umtumie hela.
tabia nyingine inayonikera ni hawa trafik kuomba hela wakati wanalipwa mishahara sisi ambao si matrafik tuombe kwa nani??
SIJAJUA KWA kweli labda atokee mmakonde yeyote ili nimuulize maana panya siku hzi hata wakiliwa hawasababishi hiyo "TAUNI"Hakuna kitu kinanikera kama tabia hizi za vijana wa mjini wao wanajiita wazawa
Kuomba posho yaani hii tabia siipendi kabisa mtu ukikutana nae tu kama hamjaonana kitambo lazima akulilie posho yaani atakukazia adi utajikuta unampa
Uvivu hii inakera kweli unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kucheza mpira analudi kwa baba anagongea chai baada ya hapo anaingia kijiweni kucheza draft yaani yeye ratiba ya kazi kwake haipo kabisa
Kupenda kazi simple yaani asilimia kubwa ya vijana was town wanapenda kazi simple isiyo tumia nguvu was akili yaani kazi yao ni udalali hakuna kingine wanachoweza
Na we we ongezea tabia za vijana wa mtaani kwako zinazokukera
huyo alikutana na mm..mwezi wa 4 alinambia best niazime 20 nitakupa basi,kwa kuwa sikuwa na roho nzito nilimpa asa kimbembe kunipa baada ya me hali kuwa ngumu namtafuta wapi siku nikamfuata kwake akasema next week na kweli siku nmekaa zangu hv naona sms ya muhamala kanitumia nusu... ikapita muda mrefu sana hajamalizia hela yake na visababu kibao ...mwenyew nikawambia me shida zimeniandama ........ kiufupi alinizungusha hyo hela iliyobakia ila hakunipa mpka leo basi nikasema sio mbya nilimpotezea kwa sms nzito niliyomuandikia kuwa yaani bora hyo hela ningemnunulia mbwa chakula kuliko wewe...sema alipanikiHivyo videmu ndio vinaudhi mpk basi! Mkifahamiana tu, baada ya siku moja utasikia my nikwambie kitu? Olewako ujichanganye ujibu niambie! Ujue kirungu kinakuja cha elfu 20,30 au 40
[emoji23][emoji23][emoji23] na ukikaa vibaya mara umeibiwaKingine kinachokera ni wale jamaa wa stendi wanaojiita wapiga debe...
Yaani eti kukushika mkono kukupeleka ofisini umpe buku.. how??
Kwani kuna mtu anaenda hadi stendi kukata tiketi hajui anaenda sehemu gani au anapenda basi gani??
Mimi wale hata sitakagi kuongea nao.
Unakuta jitu kubwaaa linataka pesa ya kirahisi rahisi