sambost
Senior Member
- Aug 27, 2020
- 105
- 126
Leo naleta Tabiri 13 za Baba Vanga , Ambazo zimewaacha watu midomo wazi ....
Baba Vanga ni Jina la Mwan mama Mmoja kutoka huko "Vangelia - Macedoni "" .Vile vile wana Muita " NOSTRADAMUS OF THE BALKANS"
Katika Maisha yake alipata UPOFU katika Umri wa Miaka 12 kutoka na Massive Storm. Maisha yake yaliendelea Mpaka pale alipoanza Kutabiri Matukio Mbali mbali . Alifariki 1996 kutoka na Ugonjwa wa Canser ya Titi akiwa France.
TABIRI 13 za Baba Vanga
1. Alitabiri America (USA) Itapata Raisi mweny asili ya Africa Na Atakuwa Raisi wa Mwisho
Ataacha Nchi katika Hali mbaya Ya Uchumi na Kutoka tokea Civil war (Vita vya wenye kwa Wenyewe ) na Na Kutokea Mpasuko wa South na Norther States .
2. Ulaya Itaacha Kuwepo (Europe will Cease to Exist) kuanzia 2016 na Kuendelea
Maeneo Mengi yatabaki Wazi , Maji tayatachukua Sehemu baadhi ya Ardhi .
3. Waislamu Wengi watavamia (Watajaa ) Ulaya.
Patkuwepo na Uharibifu Mkubwa kwenye sehemu nyingi kama Culture , Sheria ,.......na Uhalibufu utaendelea Kwa miaka Mingi zaidi . NA kusababisha Vita Kubwa vya Uislam Itaanzia Syria .
4 .China Kuna Super power mpya wa Dunia
Na Hili litaaza kuanzia 2018 na nchi zilizoendelea (Developed ) Zitakuwa zinanyonywa na Nchi zinazoendelea (Developing Country)
5. Njaa kuondolewa Duniani
Njaaa itafutwa Dunian katikati ya 2025 -2028. Hapata kuwa na Njaa Dunia Misosi itakuwa Ipo ya Kutosha.
6. Watu wataanza Kwenda sayari VENUS
Watu watagundua Aina Mpya Ya Energy ambayo itawapeleaka Watu Katika Sayari ya Venus , na Kuweka COLONY huko .
7. ROME (Roma) itakuwa Mji mkuu wa uhalifa Kiislam (Islamic Caliphate)
Mpaka Kufika 2043 waislamu watakuwa wameshavamia Maeneo kalibu yote ya Ulaya na Kuikalia .
8. Barafu Kiyeyuka Dunia
Kutoka na Ongezeko la Joto kufika 2045 Maeneo Mengi Pata kuwa na Ongezeko la Wingi wa Maji Fukwe nyingi kumezwa .
9. Cloning ya Viungo Mbali mbali
Na Hili litaanza Kuonekana Sana na Kwa wingi 2046 , ndio itakuwa njia Rahisi ya Matibabu mbali mbali ya Magonjwa .
10. America (USA) Itavamia Waislam waliotawala Ulaya
America Itaivamia Ulaya Iliyo chini ya Waislam katika Miaka ya 2066 na Kuichukua ROME (Roma ) na Kuuuludisha Utawala wa Ukristo tena Ulaya.
11. Kurudi kwa Utawala wa Ujamaa (Communism) kwa Ulaya na Na Baaadae Dunia nzima Italudi katika Mfumo wa Ujamaa hii itatokea 2076 .
12. Watu watajifunza Jinsi ya Kuishi chini ya Maji (Kwenye Maji) itatokea mwaka 2130
Watu watajifunza Kuishi kwenye Maji kwa Msaa wa Elimu ya ALIENS (Viumbe wageni Kwenye Sayari yetu ) ..
13. Mwisho wa Dunia utatokea 3797
Kila kitu kwenye Hii Dunia Kita kufa (Kuharika kabisa ) dunia yetu haitafaaa tena kwa kuishi .
Lakini binadamu watakuwa tayari wanateknolojia (Wamejifunza Vya Kutosha ) ambayo itawafanya waondoke Dunia na Kwenda Kuishi kwa katika Sayari nyingine kabisa na Kuanza Kuishi huko Maisha Mapya ...
Ni hayo ya Baba Vanga, Ambayo tunaenda Kuyashuhudia Miaka iliyopita na tutaendelea kushuhudia mengine Miaka Kadhaaa Mbele yetu.
Nakaribisha Maoni yenu Juu ya Hizi Tabiri.