Tabllet aina ya MPman kwenye kioo pembeni imeandikwa ARCHOS. Nilibadili kioo baada ya origal kuvunjika, fundi akaweka cha Itel company maana original havikuwepo madukani.
Kasheshe Tablet imewaka ila haisomi mtandao,wala haipokei simu kama zamani. Na kiingia mtandaoni inaandika Your dovice is offline.