Model Name : Galaxy Tab A8More details of the item please
Bei ni Tshs 480,000 maongezi yapo, check price againMpya kabisa inauzwa 580k, sasa hiyo bei yako inakuwaje useme ni chee wakati kitu no used
Ukisema wewe huna hela wapo wenye nazo πππJanuary hii Mkuu. Au labda Mimi sina hela
Baada ya ku edit sio?Bei ni Tshs 480,000 maongezi yapo, check price again
Kwa used hii ndio Bei take haswaKama unapokea 250 nitafute
300,000/= unapokea? ili mwisho wa mwezi huu nije kuichukua?Habari
Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo
Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina yeyote, ukiiona ndio utaamini.
Model Name: Galaxy Tab A8
Battery Capacity : 7040 mAh (Typical)
OS: Android Version 11
Rear Camera : 8MP
Front Camera : 5MP
RAM: 3GB
Display : 10.50-inch (1,920x1,200)
Processor : octa-core
Napatikana Mbezi karibu na stand ya Magufuli, namba yangu ya simu ni 0719742225
Karibu tufanye biashara
View attachment 2487036
INTERNALModel Name : Galaxy Tab A8
Battery Capacity : 7040 mAh (Typical)
OS : Android Version 11
Rear Camera : 8MP
Front Camera : 5MP
RAM : 3GB
Display : 10.50-inch (1,920x1,200)
Processor : octa-core