Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
Habari zenu wanaJF nina shida na Tablet PC kwa jili matumizi ya mwanangu ambaye yuko chuo,nimejaribu kuulizia maduka yote hapa Kigoma bila mafanikio,hivyo nimeamua kufunga safari kuja Dar wiki ijayo,hivyo kwa mtu ambaye anajua zina patikana maduka gani hapo Dar anielekeze tafadhali ilinikifika nisisumbuke sana kuzitafuta,pia kama mtaniwekea na bei zake nitashukuru sana.
Ndugu ThickPad,Kama huyo mwanao yupo Dar wewe hauna haja ya kwenda Dar maana yeye huyohuyo unaweza ukamwambia aende duka flani na pesa kisha anunue mwenyewe,
Dar maduka kibao wanazo ni pesa yako tu, kuna duka moja lipo Kariakoo kwa jina Midwest, lingine Ukifika Bigborn Kituocha Mafuta kwa mtaa wa pili lipo linaitwa RAM computer lingine mtaa wa Congo karibu na Offisi za Vodacom lipo duka Lingine la Wasomali pia.
Kwenye hayo maduka niliona wana Tablets pc nzuri sana Used ila bei yao ni ndefu ni kama m1 au 900,000/= Ni used lkn ni kama mpya speed nzuri hd 350GB ram 2GB, duo 2.8GHz N.K z blue tooth, Cam pen &OS Vista
Ninayo Dell mpya iko kwenye nylon toka Norway ila inabidi kubadili operating system kutoka lugha ya Kinorway kwenda Kiingereza. Ni European Brand nitakuuzia Shs 950,000/= na nitaibadili operating system mimi. Ukitaka kubadili mwenyewe nipe Sh 850,000/= kamili. John 0715 203386
Habari zenu wanaJF nina shida na Tablet PC kwa jili matumizi ya mwanangu ambaye yuko chuo,nimejaribu kuulizia maduka yote hapa Kigoma bila mafanikio,hivyo nimeamua kufunga safari kuja Dar wiki ijayo,hivyo kwa mtu ambaye anajua zina patikana maduka gani hapo Dar anielekeze tafadhali ilinikifika nisisumbuke sana kuzitafuta,pia kama mtaniwekea na bei zake nitashukuru sana.
Ndugu taratibu na maandiko yako.tembelea hii link:https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogomadogo/48543-brand-new-dell-machines-zinauzwa.html
unaweza kupata chaguo la mwanao, kwa support nzuri na ya kitaalamu kwa mwanao na kwa machine zenye ubora wa ukweli.
ushauri wa bure:: Dar ujanja mwingi mama.
Ndugu taratibu na maandiko yako.