Ni tecno winpad 2, ina usb port 1,os yake ni windows 10, ram ni 2gb internal storage gb 64, pia ntakupatia sd card gb 64, ina camera nzuri front and back, unaweza kuprint direct, unaweza kutumia na external cd rom hard disk nk, ni nzuri kwa wanafunzi pia kwa kazi za ofisini pia inakaa sana na chaji unaweza kutumia hata siku mbili bila kuichaji.