TABOA yasitisha mgomo wa kupinga tiketi za kielektroniki

TABOA yasitisha mgomo wa kupinga tiketi za kielektroniki

Nilijua tu yale yalikuwa maneno! Kwenye utawala huu uandamane kudai wasichoweza kukupa si kutaka kuvunjwa viungo bure
 
Sio wanafunzi tu, hata watumishi Sasa hivi ni ndio mzee!
Madhara yake ukiumwa covid wanaomba kwa juhadi zote upumzike kwa amani huenda ajaye akaleta tumaini jipya.
Sasa hivi raia wanalazimishwa kuonesha upendo kwakuwatishia wasipoonesha upendo kwa mgonjwa watachukuliwa hatua!
 
Back
Top Bottom