Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo.
Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya kitaifa ya vijana yanayoendelea mkoani Tabora, Askofu Laizer amesema Taifa linakabiliwa na changamoto kubwa na maombi ya pamoja ni njia muhimu ya kufanikisha mabadiliko.
"Endapo maombi hayatafanyika kwa dhati, nchi yetu itaendelea kupitia kipindi kigumu. Tunapaswa kuungana kwa maombi ili kutokomeza utekaji na mauaji yanayoshika kasi," amesema Laizer.
Pia, amewataka wakazi wa Tabora kuachana na fikra za kutegemea miujiza badala yake wafanye kazi za kuwaingizia kipato. "Mkoa wetu unaongoza kwa watu kutosimama kidete kujitafutia maendeleo, hali inayorudisha nyuma juhudi za maendeleo ya kiuchumi."
Wakati taifa la Tanzania likiwa bado lina taharuki kuhusu masuala ya utekaji nchini, viongozi wa dini wameendelea kupaza sauti.
Siku ya jana, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonyesha wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa matukio ya utekaji na mauaji akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo.
Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya kitaifa ya vijana yanayoendelea mkoani Tabora, Askofu Laizer amesema Taifa linakabiliwa na changamoto kubwa na maombi ya pamoja ni njia muhimu ya kufanikisha mabadiliko. andika hii kwa kutumia maneno mengine.
Wakati mwingine hata hawa wapiga zomari hawaeleweki.
Ni nini mantiki ya kufanya maombi wakati watekaji wanajulikana?
Kwanini watekaji wasiambiwe wazi wazi kuwa waache mara moja kuteka na kuua raia?