Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Bora wangemtelekeza kuliko hiki walichokifanya!Damu ya mtu haipotei bure.Kha aisee roho gani hizo.sometimes naonaga kweli shule na elimu zinasaidia.
Duuu,hii ni laana, unamuuaje mtu jamani?Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge wilaya ya Nzega mkoani
Ahaaaa ni Tabora kumbe nao Wanaua Wake zao!!!! Nilizani ni wale tuu ndio Wanaua. Huyu mtuhumiwa kuua mke Kabila Gani?Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge wilaya ya Nzega mkoani Tabora ameuawa na kisha kuning'inizwa kwenye kamba ili aonekane amejinyonga...
Uko sawa kweli?Kumuua Mama yangu hapana labda Baba.
AMINI HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO,WATU WATAJIPENDA NA KUPENDA PESA KULIKO KUMPENDA MUNGU.Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 57 mkazi wa kata ya Puge wilaya ya Nzega mkoani Tabora ameuawa na kisha kuning'inizwa kwenye kamba ili aonekane amejinyong...
Baba unauawa tu, kwanza Baba wengi wamepata watoto kwa kubaka wanawake,wengine kutokana na starehe zao na wengine wametelekeza watoto wao.Sasa kwa nini usiuawe?Uko sawa kweli?