Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Hahha Mwalimu unajua sana tena unaandika kwa mbwembwe kama zote vipi nikufanyie mpango TAMISEMI?Hehehehe navo penda sifa sasa umekuja, Kuna mtu anaitwa David Bernoulli miaka ya 1700s aligundua kwamba fluids,Gas, air na object zikiwa kwenye speed kubwa pressure kwenye hyo fluid,Gas ,air na hyo object inapungua kulingana na speed yenyew,....sasa twende kwenye issue yako kwann watu wanagandaπππ,huyo mtu akiwa jirani na treni pale pressure ya hewa kati ya treni na huyo mtu inapungua sana kulingana na speed ya train sasa ile hewa ambayo Iko nyuma ya yule mtu nyenyewe inakuwa kubwa kuliko ile ambayo Iko kati ya train na mtu,so hyo pressure ndo inamsukuma huyo mtu kuelekea kwenye train,kumbuka pressure huwa inatoka kwenye high kwenda kwenye lowππ,..
Nakuongeza ukijenga jiko halafu ukaweka lile bomba la kutolea moshi juu,hata ukiliweka mbali na sehemu ya moto,moshi lazima utafata lile bomba lilipo ndipo utoke njeπππ,yote hyo ni ktu kimoja kinaendeshwa na Bernoulli principles.....
So
High flow=low pressure
Low flow=high pressure
Ukitaka formula nayo naweza nikakumiminia ndugu mwanafunziππ
Nipeleke tu mtaa wa moto sana,ππ,nkalime na matikiti huko, japo mimi ni mtu Afya sio teach by professional ππππ,Tawala za mikoa na serikalini za mitaa unyama sana huko mkuuππHahha Mwalimu unajua sana tena unaandika kwa mbwembwe kama zote vipi nikufanyie mpango TAMISEMI?
Nakuelewa MzeeπHili niliweke sawa
Bodaboda wengi au asilimia 90 ni kuanzia form 4 kushuka chini Hadi la kwanza, tena sio hivo tu kati ya hao asilimia 100 ni wale watukutu shulen na wavuta bangi na wasela mavi
Sasa watu wa aina hiyo ni rahisi sana kukutoa roho maana wana undugu na Israel mtoa roho
Ushaur ukifika kijiweni tafuta bodaboda angalau mweny cheti cha kumaliza form 4 nje ya hapo umeweka maisha yako rehani
Bodaboda wenye kijitambua ni wale walifel lakn walikua sio watukutu sasa kiwatambua ndo kaz lakn wenye chet cha kidato cha nne kidogo kuwajua ni rahis japo napo usalama wako ni 50/50
Unatembea. Kilomita 3 kidogo hata 10km tembea. Acheni uvivu au endeleeni ma bodaboda zenu ziwamalize.Unakaa maeneo ya ndani ndani saanaa zaidi ya km3 unafanyaje ufike main road?
Tufanye bajaji hakuna kabisa
Huna usafiri binafsi
Hao bodaboda wamezoea kupuuza sheria za barabarani.Mbona huku tuliko hata kama umelala tren ikifika utasikia ni treni au huyo bodaboda alikuwa ni kipofu halafu ni kiziwi?
Kwea chuma Hy dadaa nakupepeza Hadi macho yatoe machozi. Mwendo wa buku c unaujua ?Unakaa maeneo ya ndani ndani saanaa zaidi ya km3 unafanyaje ufike main road?
Tufanye bajaji hakuna kabisa
Huna usafiri binafsi
Mimi huwa najiuliza akili za Bodaboda unazipata baada ya kuwa na bodaboda au anakuwa na hiyo akili kabla hata hajapata hiyo boda?maana kuna jamaa namjua alikuwa poa sana,ila baada ya kupata bodaboda naona akili sio yake tena...Boda boda sijui huwa wana akili gani, yaan wako Wage Wage mnoo.
πππ
Bora uchukue mzee ufike,Hili niliweke sawa
Bodaboda wengi au asilimia 90 ni kuanzia form 4 kushuka chini Hadi la kwanza, tena sio hivo tu kati ya hao asilimia 100 ni wale watukutu shulen na wavuta bangi na wasela mavi
Sasa watu wa aina hiyo ni rahisi sana kukutoa roho maana wana undugu na Israel mtoa roho
Ushaur ukifika kijiweni tafuta bodaboda angalau mweny cheti cha kumaliza form 4 nje ya hapo umeweka maisha yako rehani
Bodaboda wenye kijitambua ni wale walifel lakn walikua sio watukutu sasa kiwatambua ndo kaz lakn wenye chet cha kidato cha nne kidogo kuwajua ni rahis japo napo usalama wako ni 50/50
Wako resi vichwa vyaoBoda boda sijui huwa wana akili gani, yaan wako Wage Wage mnoo.
πππ
Isije ikawa tank lile la petroli linawalevya vichwa vyao πMimi huwa najiuliza akili za Bodaboda unazipata baada ya kuwa na bodaboda au anakuwa na hiyo akili kabla hata hajapata hiyo boda?maana kuna jamaa namjua alikuwa poa sana,ila baada ya kupata bodaboda naona akili sio yake tena...
Maglev je?Hapana hazina Kuna physics tu Iko pale,ukitaka shule sema,nataka shule nikushushie hasira kdg za advanced physics πππ,
Magnetic ya hzo train ni for train operation only na haziwezi kuvuta hata kiwembe wakat train ikipita karbu, and remember magnetic attract, opposite pole of another magnet, iron and other materials but not living organisms, plastic and other materialsMaglev je?
Ni kweli zipo ambazo zina sumaku ila kuvuta vitu sijui ila asante kwa kunijuzaMagnetic ya hzo train ni for train operation only na haziwezi kuvuta hata kiwembe wakat train ikipita karbu, and remember magnetic attract, opposite pole of another magnet, iron and other materials but not living organisms, plastic and other materials
Acha kamba we mzeeMagnetic ya hzo train ni for train operation only na haziwezi kuvuta hata kiwembe wakat train ikipita karbu, and remember magnetic attract, opposite pole of another magnet, iron and other materials but not living organisms, plastic and other materials