Tabora: Dereva wa lori la kuchanganyia mchanga afariki dunia

Tabora: Dereva wa lori la kuchanganyia mchanga afariki dunia

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Dereva wa gari kubwa ya kuchanganyia zege yenye namba za usajili T. 414 BPD ambaye jina lake halijafahamika kwa haraka, amefariki dunia, huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori hilo na gari ndogo lenye namba za usajili T. 531 ANP.

Ajali hiyo imetokea katika mtaa wa Mbilani kata ya Ng'ambo, Manispaa ya Tabora huku chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni mwendokasi wa dereva wa lori.
 
Back
Top Bottom