LGE2024 Tabora: Jamaa wanasa Madaftari ya Kupiga Kura Kituo cha Kujiandikisha yakiwa na Majina lakini hayana Saini

LGE2024 Tabora: Jamaa wanasa Madaftari ya Kupiga Kura Kituo cha Kujiandikisha yakiwa na Majina lakini hayana Saini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 kumebainika kasoro ambazo zinalengo la kuharibu uchaguzi huo kwa baadhi ya wanaoandikisha kujaza majina ambayo wahusika hawapo na kuandika Watu ambao hawajafikisha umri wa miaka 18.

Baadhi ya ambao wameandikishwa ni Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari, hali hiyo nimeikuta katika Kituo kilichopo Kata ya Kigwa - Wilaya ya Uyui hapa Tabora.

Nimekuwekea video hii kuonesha Viongozi wa CHADEMA walivyokuwa wakizozana na Waandikishaji, haya yametokea siku ya mwisho ya zoezi la uandikishaji Oktoba 20, 2024.



 
Back
Top Bottom