Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe.
Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.

Siyo fake bali ni yale yametengenezwa kwaajili ya matumiz ya nyumban ndo maana yanawaka na raia wananunua, makaa ya mawe bila kuyafanya hivyo likiwaka huna sufuria wala jiko