Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo.
Siku haiishi bila kukatika umeme, tena zaidi ya mara moja kuna siku umeme unashinda siku nzima haupo, na hakuna taarifa yoyote kama kuna mgao au la, na kuna wakati wanakata usiku au wanakata usiku na kurejesha na asubuhi wanakata tena.
Pia wanatabia ya kukata kurejesha kukata kurejesha inabaki zima waka zima waka yaani ni kuunguziana vifaa tu.
Kwa watu wenye biashara ni mateso sana hasara juu ya hasara, nyama na samaki zinaoza kwa kukosa umeme, saluni wateja hawahudumiki sabahu hakuna umeme.
Soma Pia:
~ TANESCO Kibondo wanakata umeme zaidi ya saa 12 bila taarifa. Kama kuna mgao watujulishe
~ TANESCO wamezidisha kukata umeme Kata ya Tura, Wilaya ya Uyui, Tabora
TANESCO mtujibu kwa nini mnakata umeme? Mnatutia hasara tu na hamsemi chochote, kama kuna mgao mtuambie na mtuambie siku za kukata na maeneo ili tujue. Na kama kuna mgao kwa nini uwepo?
Majibu ya TANESCO TABORA
Pia soma ~ TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo