Nipo Tabora siku ya pili leo nimeshangaa kwa mara ya kwanza mwaka huu mchele umepanda ghafla toka 800-16000 na Kuwa 1600 hadi 2300.
Kuulizia sababu naambiwa kuna wafanyabiashara toka Kenya, Uganda, Sudan Kusini na wenzetu wa Zanzibar ambao wanachukua mchele wa Tabora na Shinyanga na kwenda ku export katika nchi za kiarabu.
ANGALIZO: Uongozi wa mkoa kuzuia hali hii mapema kabla mambo hayajaharibika.