Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu dada atapandishwa cheo.Aliyemrekodi atasomeshwa namba.ETHICS ETHICS ETHICs ethics
Kwa nini?
Hivi unafahamu watumishi wa jinsi hii wanavyokatisha tamaa wengine kutoa huduma bora?

Kama anathubutu kusema maneno makali hivi kwa mtumishi mwenzie,unadhani kwa wagonjwa itakuwaje?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,kwa ninavyofahamu ,aliyemrekodi amevuka mstari alipoipost hii video hapa.Hawa wote ni watumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…