Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
ASANTE SANA ILA SINA MTAJI WA KUANZISHA UJASIRIAMALI.Niliomba KAZI ya msimu pale tumbaku wanadai 30000,ili nipate kazi!Mami,
Fanya mpango basi uanzishe kitawi cha CHADEMA hapo sijui Kanyenye au Isevya?
Pia angalia uwezekano wa kujiajiri kama kilimo kwani Tabora, ina ardhi kibao.
Amini nakuambia, ukitumia akili zaidi na nguvu zaidi mwanzo, unaweza kujikuta baada ya miaka 5, ukaniandikia kuwa umenunua gari na nyumba. Uwezekano upo ila tu inabidi utumie akili kwelikweli na visenti vya mwanzo viwe ni mtaji na si kuongeza wake mmoja baada ya mwingine kama kawaida ya Wanyamwezi.
Ikibidi, basi nenda mbali na mji maana Tabora mjini na miji ya karibu, vibaka wengi sana.
Ningelikukaribisha Sikonge ila kwa sasa nipo Ushirombo hadi mwakani.
Ila bado waweza kwenda huko kama ukitaka. Unaweza kuanza na kilimo na ukafungua kiduka chako ambacho ukitumia elimu yako ya Form Six basi utaweza kufika mbali. Mie nimewashawahi kuwaona jamaa wamemaliza Uhandisi na wamefungua kampuni yao ya ujenzi kwa kufunga nondo kwenye majengo. Wanakufungia nondo kwa speed ya ajabu na wana hela yao nzuri sana hadi leo hii.
Usije ukaona kuwa kwa kuwa wewe ni Form Six basi lazima uajiriwe kazi ofisini wakati wale wa Chuo Kikuu cha Kata Dodoma hata wao hawana kazi. Kama utataka basi naweza hata kukuambia ni zao gani uanze nalo. Waweza kwenda Chuo cha Kilimo Tumbi na watakupa ushauri mzuri sana. Usiogope kazi za mikono kwani ni zoezi tu na waweza kuzoea.
Kila la kheri katika kuanza UJASIRIMALI.
Hunitakii mema?Huku ukianzisha tawi la CDM ni hatari mno!wanabana mbavu!Mami,

Hunitakii mema?Huku ukianzisha tawi la CDM ni hatari mno!wanabana mbavu!
Naishi na father wangu ila ni MTATA ile mbaya!nikisema ulinzi namaanisha kwenye makampuni!Hata hivyo sichagui KAZI.
Naomba msaada jaman!
Wana JF naomba yeyote aliyeko mkoani TABORA anisaidie kutafuta kazi yoyote ile ya kufanya.HATA KAMA NI ULINZI.Elimu yangu ni form six.Nimechoka kunyanyaswa kisa sina kazi.Naomba niwasilishe mada!
Mami,
Fanya mpango basi uanzishe kitawi cha CHADEMA hapo sijui Kanyenye au Isevya?
Pia angalia uwezekano wa kujiajiri kama kilimo kwani Tabora, ina ardhi kibao.
Amini nakuambia, ukitumia akili zaidi na nguvu zaidi mwanzo, unaweza kujikuta baada ya miaka 5, ukaniandikia kuwa umenunua gari na nyumba. Uwezekano upo ila tu inabidi utumie akili kwelikweli na visenti vya mwanzo viwe ni mtaji na si kuongeza wake mmoja baada ya mwingine kama kawaida ya Wanyamwezi.
Ikibidi, basi nenda mbali na mji maana Tabora mjini na miji ya karibu, vibaka wengi sana.
Ningelikukaribisha Sikonge ila kwa sasa nipo Ushirombo hadi mwakani.
Ila bado waweza kwenda huko kama ukitaka. Unaweza kuanza na kilimo na ukafungua kiduka chako ambacho ukitumia elimu yako ya Form Six basi utaweza kufika mbali. Mie nimewashawahi kuwaona jamaa wamemaliza Uhandisi na wamefungua kampuni yao ya ujenzi kwa kufunga nondo kwenye majengo. Wanakufungia nondo kwa speed ya ajabu na wana hela yao nzuri sana hadi leo hii.
Usije ukaona kuwa kwa kuwa wewe ni Form Six basi lazima uajiriwe kazi ofisini wakati wale wa Chuo Kikuu cha Kata Dodoma hata wao hawana kazi. Kama utataka basi naweza hata kukuambia ni zao gani uanze nalo. Waweza kwenda Chuo cha Kilimo Tumbi na watakupa ushauri mzuri sana. Usiogope kazi za mikono kwani ni zoezi tu na waweza kuzoea.
Kila la kheri katika kuanza UJASIRIMALI.
Wee jaribu kutafuta kazi yoyote upate nauli. Vijijini huko unahitaji tu jembe na shoka na waweza anza kazi. Yaani hamna hata kazi ya ualimu? Kubeba zege, kubeba magogo? Kibaya kinachonishtua ni kuwa huna hata dola 20 za kuombea kazi. Hapo kweli kasheshe.
Unajua ili usaidiwe, lazima na wewe ujisaidie. Sidhani kama kweli hakuna kikazi chochote unaweza kufanya ili uanzishe kilimo. Tabora ni very cheap vitu vingi kwani haina hela. Hebu nenda kwa Mbunge wako huyo Msomali na mwelezee shida yako ila nenda ukiwa umeweka mipango yako kwenye karatasi na mwambie ungelihitaji fedha kadhaa ili uanzishe kishughuli kidogo sana. Hiyo kitu isizidi Laki moja na nusu. atakupatia kikazi fulani ufanye na ukishapata hela yako, TIMKA.
Anza kuwa na fikira za kuanza kujitegemea, achana na lazima uajiriwe, otherwise: YOU ARE DEAD WITHOUT MONEY.
ASANTE SANA ILA SINA MTAJI WA KUANZISHA UJASIRIAMALI.Niliomba KAZI ya msimu pale tumbaku wanadai 30000,ili nipate kazi!
Jamani mambo magumu!
Kaka hiyo namtafutia mtu kwa kuwa yeye hana analolijua zaid katika technologia,Ndio sababu namsaidia kumtafutia.Hapo me ni WAKALA TU!mkuu nilikuwa nakufikiria lakini nimeshindwa kuelewa kama kweli uko serious, nimeunganisha post ya Sikonge na ya kwako, halafu hapo kwenye bluu, sijakuelewa kabisa. unajua kwanini gonga hapa chini
Natafuta PC ya laki mbili!
kuwa mkweli...
Kaka hiyo namtafutia mtu kwa kuwa yeye hana analolijua zaid katika technologia,Ndio sababu namsaidia kumtafutia.Hapo me ni WAKALA TU!