Tabora tuna raha sana hebu pitia kidogo hapa

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe Cha Kapala. Kihembe Cha Ntole. Mlabi. Msapagulilo. Kapokole. Mgagani. Kikenyu Matembele.kiboga. Mkono Gwa Mbuli. Matini. Msusa Na Kiungo Chake Ni Ntwili
Tuna Matunda pia mengi
Mantonga
Mfulu
Magongoti
Mbula
Maembe
Machungwa
Mapera
Nkuni
Ntalali
Mastafeli
Matopetope
Mapapai
Machongoma
Watumie Wanyamwezi Sms Hii Wakumbuke Kwao Tabora
 
Aiseee!Inabidi nije huko nipate ugali laini na kansolele.Baadae nishushie mbowoto au juisi ya mantonga.Wawezya woo myala!
 
aah Tabora napakubali kwa madem tuu, hardcore
 
Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe Cha Kapala. Kihembe Cha Ntole. Mlabi. Msapagulilo. Kapokole. Mgagani. Kikenyu Matembele.kiboga. Mkono Gwa Mbuli. Matini. Msusa Na Kiungo Chake Ni Ntwili
Tuna Matunda pia mengi
Mantonga
Mfulu
Magongoti
Mbula
Maembe
Machungwa
Mapera
Nkuni
Ntalali
Mastafeli
Matopetope
Mapapai
Machongoma
Watumie Wanyamwezi Sms Hii Wakumbuke Kwao Tabora
Katika mikoa masikini 7 Tanzania Tabora umo.

Pia katika mikoa AMBAYO siwezi ishi moja wapo ni HUO .
Nafuu Shy, Kigoma,nk
 
ni moja kati ya maeneo ya Tanzania ambapo tunaienzi kwa vitendo sera ya ujamaa,

-tunaishi kidugu

-hakuna chuki za kidini, huku wakristo tunawaita waislamu "waswahili"

-ukiwa na shamba unaweza kuwaita wanakijiji wakusaidie kulima bure, Tabora raha bhana

-wenyeji ni wanyamwezi ila Tabora imebeba makabira almost yote nchini

-huku ndio inakotoka tumbaku na karanga nyeupe

-karibu Tabora ukutane na watoto wakarimu, wakusahaulishe kurudi kwenu

-karibu Tabora bhana, ukifika hapo mjini usisahau kuja urambo kwenye karanga.
 
Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe Cha Kapala. Kihembe Cha Ntole. Mlabi. Msapagulilo. Kapokole. Mgagani. Kikenyu Matembele.kiboga. Mkono Gwa Mbuli. Matini. Msusa Na Kiungo Chake Ni Ntwili
Tuna Matunda pia mengi
Mantonga
Mfulu
Magongoti
Mbula
Maembe
Machungwa
Mapera
Nkuni
Ntalali
Mastafeli
Matopetope
Mapapai
Machongoma
Watumie Wanyamwezi Sms Hii Wakumbuke Kwao Tabora
Kwenye matunda ongeza

Mantonga
Nsalansi
Gongoti
Ndati
Susuna
Nkunazi
 
Back
Top Bottom