Katika mikoa masikini 7 Tanzania Tabora umo.Tabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe Cha Kapala. Kihembe Cha Ntole. Mlabi. Msapagulilo. Kapokole. Mgagani. Kikenyu Matembele.kiboga. Mkono Gwa Mbuli. Matini. Msusa Na Kiungo Chake Ni Ntwili
Tuna Matunda pia mengi
Mantonga
Mfulu
Magongoti
Mbula
Maembe
Machungwa
Mapera
Nkuni
Ntalali
Mastafeli
Matopetope
Mapapai
Machongoma
Watumie Wanyamwezi Sms Hii Wakumbuke Kwao Tabora
Tupe takwimu, otherwise unachuki binafsi tu na Sisi Wanyamwezi.Katika mikoa masikini 7 Tanzania Tabora umo.
Pia katika mikoa AMBAYO siwezi ishi moja wapo ni HUO .
Nafuu Shy, Kigoma,nk
Kwenye matunda ongezaTabora Tuna Raha Sana Hata Mboga Hatuhangaiki Tuna Mboga Za Uyoga Wa Uhima. Kansolele. Nsansa. Nswalu. Mlenda Wa Malendi Ya Wima. Mlenda Wa Malendi Ya Tyege. Kisanfu. Kihembe Cha Kafuto Kihembe Cha Kapala. Kihembe Cha Ntole. Mlabi. Msapagulilo. Kapokole. Mgagani. Kikenyu Matembele.kiboga. Mkono Gwa Mbuli. Matini. Msusa Na Kiungo Chake Ni Ntwili
Tuna Matunda pia mengi
Mantonga
Mfulu
Magongoti
Mbula
Maembe
Machungwa
Mapera
Nkuni
Ntalali
Mastafeli
Matopetope
Mapapai
Machongoma
Watumie Wanyamwezi Sms Hii Wakumbuke Kwao Tabora
mbuzi watakula nini sasa