Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Dini ya Kiislam kuanzia lini imeleta maendeleo?Wana Tabora tuletewe SC Muislam safi ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Waislam kama wachawi tuWana Tabora tuletewe RC Muislam, mshika dini kama Abbas Kandoro safi kabisa ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Kwamba hujui kuwa selekali haina dini?Wana Tabora tuletewe RC Muislam, mshika dini kama Abbas Kandoro safi kabisa ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Mkuu bhn unafikilisha sanaWana Tabora tuletewe RC Muislam, mshika dini kama Abbas Kandoro safi kabisa ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Wana Tabora tuletewe RC Muislam, mshika dini kama Abbas Kandoro safi kabisa ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Udini utakufikisha wapi? Tuache udini.
CCM inawapenda watu wa namna hii
Kuna uhusiano gani ya uongozi maendeleo na dini?kwani viongozi wakristo wameshindwa kuleta maendeleo? Je wapi umeona mifano kwamba viongozi wa dini yako ndo waleta maendeleo?
INAFIKIRISHA SANA.Mkoa wenyewe umejaa wapagani huo!
Dini zipo mijini tu na kwenye visenta kama Bukene kwingineko vijijini ni vibuyu na ramli chonganishi.😀