maukijunior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 233
- 366
Wakuu habari za muda huu, kwanza poleni sana na majukumu binafsi sio mwandishi mzuri saana lakini ntajitahidi kafli niwezavyo kuwakilisha ujumbe huu.
Wiki iliyopita nilikua mkoani Tabora kuna mitikasi fulani nilikua nafanya ili mkono uende kinywani, wakati nimefika tu siku ya kwanza nimeamka asubuhi nikakuta umeme umekatika, nikahisi labda utarudi sio mda mrefu lakini nikakaa hadi jioni ndio umeme ukarejea nikashangaa sana.
Anyways nikahisi labda kuna marebisho TANESCO wanafanya, lakini ule mfumo uliendelea hadi naondoka tabora. Ijumaa nimerudi mkoani Songwe ninapoishi nimefika mida ya tatu nikakuta hakuna umeme nikauliza wadau wakaniambia toka asubuhi hakukuwa na umeme hadi muda huu zaidi ya masaa 12, na hili tatizo lipo hadi Mbeya mjini.
Swali, kuna mgao wa umeme nchi hii? Na hili suala ni baadhi ya mikoa tu au nchi nzima? Na kama kuna mgao kwanini serikali haisemi wazi ili watu wawe na angalizo?
NAOMBA KUWASILISHA