Tabora vituo vya mafuta havitoshi

Tabora vituo vya mafuta havitoshi

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, pamoja na kupanda bei ya mafuta ya magari lakini kwa Tabora ni shida kama hupo mjini kati.

Mjini kati pana vituo kama vitano hivi karibu karibu hivo kukufanya kama unaishi mfano Ipuli, kilometa takriban 5 kwenda mjini, kupata shida ya kuongeza mafuta mjini.

Nashauri, mie uwezo sina, wenye uwezo waweke vituo vya mafuta hayo pembezoni mwa mji kwani unakuwa kila siku.
 
Kuna jamaa hapa atasema ukiona unaitiwa fursa,wewe ndio fursa. Kituo cha mafuta hakikutupi.
 
Mkuu, kuwa na uwezo si pesa pekee ila ni pamoja na utaalam wa shughuli husika. Naweza kuwa na pesa sawa ila kama sina utaalamu si inakula kwangu👋.
Tumia hata ile gongo pyuwa iwe mbadala wa petrol mkuu.Tabora si haba kwa gongo.Ipuli,Isevya,Kanyenye,Bachu,Ng'ambo,Mibirani,Rufita,Kwa Gondwe,Kwa Boga,Kandiloni,Kwa Masempele nk.Kote huko huwezi kukosa gongo.Nakutania.,😝😝😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom