Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Wananchi wakiwemo wazee, viongozi wa kiserikali na wnachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoani Tabora leo tarehe 22 Januari 2025 wamefanya matembezi ya Amani kuanzia Ofisi za CCM Mkoa hadi Viwanja vya CCM Wilaya ya Tabora kumpongeza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi kuwa wagombea mwenza (Bara) wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yaliongozwa na Mkuu wa wilaya ya Tabora Mhe. Deusdedith Katwale na Kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora Ndugu Saidi Nkumba Viwanja ya CCM Wilaya ya Tabora.
Matembezi hayo yaliongozwa na Mkuu wa wilaya ya Tabora Mhe. Deusdedith Katwale na Kupokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora Ndugu Saidi Nkumba Viwanja ya CCM Wilaya ya Tabora.