LGE2024 Tabora: Watu zaidi ya 150,000 watumia siku moja kujiandikisha daftari la kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

LGE2024 Tabora: Watu zaidi ya 150,000 watumia siku moja kujiandikisha daftari la kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20, mwaka huu.

1728822345246.jpeg

Mbaya zaidi wengi wao ni wjng, hense wmesombwa na mgombea wa ccm akiwa na uhakika kabisa kuwa kura zote hizo ni zake,maana baadaye huwa wanapozwa na 💯-💯
 
Nyie wajanja si mjiandikishe?Kazeni fuvu na malalamiko yasiyo na mbele wala nyuma.Mkigaragazwa msingizie mmeibiwa kura.
 
Nyie wajanja si mjiandikishe?Kazeni fuvu na malalamiko yasiyo na mbele wala nyuma.Mkigaragazwa msingizie mmeibiwa kura.
Hakuna kugaragazwa katika uchaguzi wenye mazingira ya kihuni hivyo. Kwa hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maeonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu, au anayefaidika na mazingira haya ya chaguzi za kuhuni anaweza kujitokeza kushiriki huo uhuni.
 
MWENENDO WA AFISA WA POLISI OCD TABORA WATIA SHAKA, APEWA DARASA KUHUSU SHUGHULI ZA SIASA CHADEMA KANDA YA MAGHARIBI

View: https://m.youtube.com/watch?v=PIAFwc9RGos
Chama kikuu cha CHADEMA kupitia Katibu wake CHADEMA kanda ya Magharibi wakosoa Ofisa wa jeshi la Polisi OCD kupiga marufuku mikutano ya CHADEMA inayolenga kujiimarisha kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitingoji osimamiwa na TAMISEMI ...

Katibu ahoji CHADEMA kupigwa barua za jumla jumla zisizinukuu vifungu na sheria zikizotumika kupiga marufuku mikutano ya CHADEMA katika mkoa wa Tabora ...
 
Wekeni orodha ya hao watu sababu siyo siri, hapo kutakuwa na wanafunzi wa primary wa kutosha
 
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20, mwaka huu.

Halali hapo ni 40,000 tuu!
 
Failed Mision....Mkoa mzima wa tabora watu zaidi ya 3M
 
14 October 2024
Arusha, Tanzania

VITUO VYAONGEZWA GHAFLA KUTOKA 154 HADI ZAIDI YA VITUO 462 ILI VYAMA VIKOSE MAWAKALA

View: https://m.youtube.com/watch?v=PFpNvDqeong
Vyama vilijipanga kuwa na mawakala kusimamia vituo 196, lakini kisiri CCM wakaambiwa mapema kabla ya vyama vingine kuambiwa dakika za lala salama ...

Kuongezwa kinyemela kwa vituo kwa zaidi ya asilimia 300 yaani toka ile ya awali 154 hadi 462 kwa mahesabu vimepindukia mara 3 kulliko vya awali ni kuwa yule DC wa Loliondo aliposema tumeshamaliza michezo ndiyo hii michezo ya CCM na serikali yake.

Toka maktaba:

DC WA LOLIONDO ATUMBULIWA KWA KUTOA SIRI ZA CCM KUSHINDA UCHAGUZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=M4rve_wh2IY
 
DC wa Loliondo ndio DC wa wilaya gani?Kufuata mkumbo kama nyumbu ndio tatizo la herd thinking.
 
Alafu tukisema hakuna maendeleo yoyote askofu anatutusi tukawaulize mama zetu..
Daah! Inaumiza sana
 
Back
Top Bottom