Hakuna kugaragazwa katika uchaguzi wenye mazingira ya kihuni hivyo. Kwa hapa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maeonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu, au anayefaidika na mazingira haya ya chaguzi za kuhuni anaweza kujitokeza kushiriki huo uhuni.Nyie wajanja si mjiandikishe?Kazeni fuvu na malalamiko yasiyo na mbele wala nyuma.Mkigaragazwa msingizie mmeibiwa kura.
Kumbe CHADEMA ni chama cha wakristo pekee!? Hatutaki chama chenye msimamo wa dini moja tuuuKanda ya Kati CHADEMA
MAZITO YAFICHUKA DAFTARI LA WAPIGA KURA, CHADEMA DODOMA WADAI KUBAINI UOVU, "TUMENASA MAJINA FEKI"
View: https://m.youtube.com/watch?v=Ub4pw9b79FgDodoma waibua madudu
Halali hapo ni 40,000 tuu!Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20, mwaka huu.
Failed Mision....Mkoa mzima wa tabora watu zaidi ya 3MWatu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20, mwaka huu.
HahahHalali hapo ni 40,000 tuu!
Jamaa ana mdomo mrefu kama migebuka