Je una nyumba moja au nyingi za aina hiyo. Inavyojua nyumba kama hizo huwa haziuzwi kwa cash, bali kwa mkopo wa miaka 5 hadi 10. hata Ulaya ndo wanavyofanya. If that is the case, inabidi utengeneze kiwango cha kulipa kwa mwezi kwa miaka 5 au 10. Then tumia vyombo vya habari kama TV, radio na magazeti kutangaza. kama ni kinyumba kimoja tu unauza, basi waone watu wa real estates , ofcourse watakuchaji kamisheni..
Leo kama mtu wa masoko, nina pata tabu sana ku target watu ambao wana uwezo wa kununua nyumba kwenye range ya milioni mia mbili. nimefanikiwa kupata kazi kutoka mwekezaji wa nje, lakini kama mtanzania na hofia kwamba mwekezaji at choka na mimi kama sianzi ku uza. Nisaidieni, kwa sababu muhimu sana kuwa na information ya aina hiyo ili kusaidia wafanya biashara kufika kwa walengwa. kwa sababu kwenye biashara mteja ni mfalme. kama huna mteja, huna biashara