daaaaa tunaosoma udsm tunapata malazi mwaka wa kwanza tuu yani mda wakurudi kuanza muula wa pili au wa tatu ni bahati na sibu asilimia 90 amna malazi ukikosa wakukubeba kazi ipo....unatakiwa kupiga desa malaz amna no fweza yaniii tabu tupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.