K kamanda2 New Member Joined Aug 28, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Sep 1, 2013 #1 daaaaa tunaosoma udsm tunapata malazi mwaka wa kwanza tuu yani mda wakurudi kuanza muula wa pili au wa tatu ni bahati na sibu asilimia 90 amna malazi ukikosa wakukubeba kazi ipo....unatakiwa kupiga desa malaz amna no fweza yaniii tabu tupu
daaaaa tunaosoma udsm tunapata malazi mwaka wa kwanza tuu yani mda wakurudi kuanza muula wa pili au wa tatu ni bahati na sibu asilimia 90 amna malazi ukikosa wakukubeba kazi ipo....unatakiwa kupiga desa malaz amna no fweza yaniii tabu tupu