Karibu sana. Ulikuw wapi mamaangu?Niliimiss Jamii Forum na wanachama wake aiseeh...
Hehehehehe ila lips zimezidi kunonaHapana mkuu.ninaID moja tu..ambayo ndo hii.
Umenenepa kama mjusi mafuta hivyo vitakuwa vitumbua vya nyama[emoji23][emoji23]hapo nilikula vitumbua sana mkuu ndo mana
Sio mjusi mkuu sema kiboko kabisa.
Kazi ipo
Wewe wasema lkni