KERO TAESA kumekuwa na usumbufu mkubwa kwenye malipo ya posho za interns

KERO TAESA kumekuwa na usumbufu mkubwa kwenye malipo ya posho za interns

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunakaa miezi miwili mpaka mitatu bila malipo na wakilipa wanalipa mwezi mmoja malimbikizo yanakuwa mengi. Hivyo inatufanya maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba tunakosa hata nauli.

Tunaomba watuonee huruma tunajitolea ili kupata uzoefu wa kazi tunashindwa kuendelea na kazi kwa sababu ya kukosa ya posho inayotusaidia kujikimu katika eneo la kazi.
 
Back
Top Bottom