Babu mchumi
Member
- Jul 5, 2011
- 62
- 11
elimu yako ni gani? watu wamechoka andika comments kwa duwazi!habari zenu za great thinkers!!!
naomba kujulishwa kuhusu hii kitu inaitwa kahawa,kuna jamaa yangu ambaye amenishauri nitumie kahawa kabla ya kuingia kwenye mechi kwani amedai hutoki uwanjani mpaka uamue wewe,sasa naomba kuuliza hii kitu kahawa haina madhara yoyote??ni nini faida yake na hasara yake!!!
habari zenu za great thinkers!!!