Waziri mhagama amewaka kisa wageni kucheleweshewa vibali vya kazi, ni vyema akatueleza ni wageni wapi? wanafanya kampuni gani? ujuzi wao ukoje? sisi tumeshindwa hata kufunga gear box za udart, vijana wamekimbilia kwa wachina nako mnaleta wageni sasa wakafanyekazi wapi? hata huko jkt walikokuwa wakitumikishwa manamba nako mumewafukuza. Kama hawana weledi ni jukumu la serikali kuhakikisha vijana wetu wana weledi, chunguzeni nchi zingine wanafanyaje.
Waziri nikupe mifano michache, chuo kikuu cha New Delhi India kimeingia mkataba na microsoft vijana huenda kufanyakazi na huku wakiendelea na masomo hivyo wanapohitimu tayari wana ujuzi wa kazi. Chuo kikuu cha Indonesia kimeingia mkataba na chandard charted bank HBSC bank, vijana asubuhi wanaenda kufanyakazi jioni wanaingia darasani kwa maana hiyo wahitimu wao wanakuwa na ujuzi tayari na ndio wanaokuja huku kama experts. UDSM wanashindwa nini kuingia mkataba na crdb bank, UDSM wanashindwa nini kuhamishia facult of mining Geita ili vijana wakati wanasoma wanaenda kufanyakazi ili wanapohitimu wanakuwa na ujuzi tayari.
Waziri katambi anasema tatizo waajiri wanatumia vishoka, kweli huyu ni shemasi alipaswa apewe upadirisho, kwahiyo anakili kuna rushwa iliyokithiri ofisini kwake na kwa sababu yeye ni njuka na mhagama ni form four kwa lugha nyingine mhagama ndio tatizo, inamaana hao vishoka wa siku nyingi na wana connection ndefu.
Waziri anampaje kibali mtu hata hajamwona kwa sura, najua katika pitapita zake katambi aliwahi kuwa HR kwanini asiwaite hao waomba vibali hata akawahoji maswali mawili matatu akajua wasifu wao, au huko kwenye ziara akauliza fulani nilimpa kibali mwezi uliopita yuko wapi? Tafadhali unapogawa ajira zetu ujue nasisi tuko mtaani na degree zetu na hatuna ajira. Jiwe alisema hatarajii kuona fundi bomba kutoka nje anapata kibali cha kazi, leo hata arobaini haujafika mumeshaanza.
CHANZO: MWANANCHI