antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwa hiyo unataka alaumiwe hata akitamka kweli?!Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekana mtu wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.
Tuache hii tabia.
Wewe ulikuwa unatakaje mkuu ???sawa,umetumia uhuru wa maoni kama yeye alivyotumia.
au unatakaje!!!!
Tatizo sio Msekwa bali watu ambao wanatabia ya kumsifia mtu pale anapoongea yale wanaopenda kuyasikia na ikitokea mtu huyo akiongea wasiopenda kuyasikia hata kama ni ukweli basi wanamshambulia na kumtoa akili.Kwa hiyo unataka alaumiwe hata akitamka kweli?!
Wewe ulikuwa unatakaje mkuu ???
Ana Makinda, kashapewa vyake.
Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekana mtu wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.
Tuache hii tabia.
Mhusika mwenyewe ataelewa, ujumbe umeshamfikia.kwahiyo pesa inatakiwa au makofi!!!!
Chadema hawaeleweki kabisa Halima alivyokuwa anaheshimiwa huko ufipa leo dah mijitusi wanayomtukana kha!Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekana mtu wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.
Tuache hii tabia.
Kuna wanaoamua kustaafu wa heshima wengine wakiamua kustaafu kwa fedheha na aibu.Mama Anne Makinda,
Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu.
Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki yake ya kutoa maoni kama Katiba inavyomruhusu.
Tatizo siyo Msekwa, tatizo ni wewe hutaki Msekwa aseme kwamba akina Halima Mdee si wabunge tena tangu walipovuliwa uanachama.
Msekwa kanukuu ibara ya 71(1)(e) sasa wewe ulitaka awe kipofu kwa ibara hiyo.
Sasa mama Makinda ngoja nikufundishe mambo matatu inayoelekea huyajui.
Jambo la kwanza ni kwamba Pius Msekwa ndiye mtu pekee aliyebaki hai aliyeshiriki kamati ya kuiunda Katiba hii mwaka 1977.
Kumbuka Mwenyekiti wa kamati hiyo ni alikuwa hayati Thabit Kombo na katibu akawa ni huyu Msekwa.
Wewe ulikuwa wapi wakati huo maana historia haikutaji.
Hivyo Pius Msekwa ni mtunzi wa Katiba yetu bila kujali ni mbovu au nzuri.
Waandishi wanamfuata kwa sababu ni mtungaji wa hiyi Katiba hawakufuati wewe uliyepata uspika kwa kigezo cha Samwel Sitta kukosa jinsia ya Kike mwaka 2010.
Jambo la pili ni kwamba Pius Msekwa ndiye kiongozi pekee ndani ya CCM kuandika vitabu vingi na vinasomwa duniani kote.
Ndiye msomi pekee aliyeandika mengi kuhusu Bunge. Wewe huna article hata ya page moja kwenye gazeti lolote.
Jambo la tatu ni kwamba wiki juzi wakati Bunge hili linazinduliwa Pius Msekwa alialikwa kwenye semina ya wabunge na akatoa lecture nzuri.
Katika semina hiyo Spika Job Ndugai kawaambia kwamba wasiishie kumsikiliza Msekwa kwenye semina ile tu bali wachimbue vitabu vyake vilivyojazana kwenye library ya Bunge.
Jambo la nne ni kwamba kama unataka, japo huwezi, mwambie Pius Msekwa aache kuandika makala zake za "The Current Affairs" kila Alhamsi kwenye gazeti la Daily News.
Serekali inamtumia kila Alhamis kwenye Daily News halafu leo EATV wamemhoji unapiga kelele.
Hivyo kama wewe uliamua kuandika historia ya kukaa kimya basi acha dunia ya wasomi inayomheshimu Msekwa tumheshimu.
Msekwa ndiye mtu pekee ndani ya CCM anayeweza kuongea na wapinzani wakajibizana naye.
Cha muhimu ishauri CCM ipike vijana ma genious kama Nyerere alivyowapika hawa akina Msekwa na siyo hawa wa sasa hivi ambao wakiamka asubuhi wanatafuta tusifie lipi.
Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekana mtu wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.
Tuache hii tabia.
We sio mdogowetu kwa ulichokiandika nasema hivi MUCH RESPECT BROTHERMama Anne Makinda,
Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu.
Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki yake ya kutoa maoni kama Katiba inavyomruhusu.
Tatizo siyo Msekwa, tatizo ni wewe hutaki Msekwa aseme kwamba akina Halima Mdee si wabunge tena tangu walipovuliwa uanachama.
Msekwa kanukuu ibara ya 71(1)(e) sasa wewe ulitaka awe kipofu kwa ibara hiyo.
Sasa mama Makinda ngoja nikufundishe mambo matatu inayoelekea huyajui.
Jambo la kwanza ni kwamba Pius Msekwa ndiye mtu pekee aliyebaki hai aliyeshiriki kamati ya kuiunda Katiba hii mwaka 1977.
Kumbuka Mwenyekiti wa kamati hiyo ni alikuwa hayati Thabit Kombo na katibu akawa ni huyu Msekwa.
Wewe ulikuwa wapi wakati huo maana historia haikutaji.
Hivyo Pius Msekwa ni mtunzi wa Katiba yetu bila kujali ni mbovu au nzuri.
Waandishi wanamfuata kwa sababu ni mtungaji wa hiyi Katiba hawakufuati wewe uliyepata uspika kwa kigezo cha Samwel Sitta kukosa jinsia ya Kike mwaka 2010.
Jambo la pili ni kwamba Pius Msekwa ndiye kiongozi pekee ndani ya CCM kuandika vitabu vingi na vinasomwa duniani kote.
Ndiye msomi pekee aliyeandika mengi kuhusu Bunge. Wewe huna article hata ya page moja kwenye gazeti lolote.
Jambo la tatu ni kwamba wiki juzi wakati Bunge hili linazinduliwa Pius Msekwa alialikwa kwenye semina ya wabunge na akatoa lecture nzuri.
Katika semina hiyo Spika Job Ndugai kawaambia kwamba wasiishie kumsikiliza Msekwa kwenye semina ile tu bali wachimbue vitabu vyake vilivyojazana kwenye library ya Bunge.
Jambo la nne ni kwamba kama unataka, japo huwezi, mwambie Pius Msekwa aache kuandika makala zake za "The Current Affairs" kila Alhamsi kwenye gazeti la Daily News.
Serekali inamtumia kila Alhamis kwenye Daily News halafu leo EATV wamemhoji unapiga kelele.
Hivyo kama wewe uliamua kuandika historia ya kukaa kimya basi acha dunia ya wasomi inayomheshimu Msekwa tumheshimu.
Msekwa ndiye mtu pekee ndani ya CCM anayeweza kuongea na wapinzani wakajibizana naye.
Cha muhimu ishauri CCM ipike vijana ma genious kama Nyerere alivyowapika hawa akina Msekwa na siyo hawa wa sasa hivi ambao wakiamka asubuhi wanatafuta tusifie lipi.
Tafadhali Mama Anne Makinda jihadhari kwani Pius Msekwa si saizi yako. Msekwa katumia usomi kusema akina Halima Mdee wamefutwa UbungeMsekwa hajaonekana wa maana, bali tunashangaa amepata wapi ujasiri wa kuongea ukweli.
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini KwanMama Anne Makinda,
Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu.
Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki yake ya kutoa maoni kama Katiba inavyomruhusu.
Tatizo siyo Msekwa, tatizo ni wewe hutaki Msekwa aseme kwamba akina Halima Mdee si wabunge tena tangu walipovuliwa uanachama.
Msekwa kanukuu ibara ya 71(1)(e) sasa wewe ulitaka awe kipofu kwa ibara hiyo.
Sasa mama Makinda ngoja nikufundishe mambo matatu inayoelekea huyajui.
Jambo la kwanza ni kwamba Pius Msekwa ndiye mtu pekee aliyebaki hai aliyeshiriki kamati ya kuiunda Katiba hii mwaka 1977.
Kumbuka Mwenyekiti wa kamati hiyo ni alikuwa hayati Thabit Kombo na katibu akawa ni huyu Msekwa.
Wewe ulikuwa wapi wakati huo maana historia haikutaji.
Hivyo Pius Msekwa ni mtunzi wa Katiba yetu bila kujali ni mbovu au nzuri.
Waandishi wanamfuata kwa sababu ni mtungaji wa hiyi Katiba hawakufuati wewe uliyepata uspika kwa kigezo cha Samwel Sitta kukosa jinsia ya Kike mwaka 2010.
Jambo la pili ni kwamba Pius Msekwa ndiye kiongozi pekee ndani ya CCM kuandika vitabu vingi na vinasomwa duniani kote.
Ndiye msomi pekee aliyeandika mengi kuhusu Bunge. Wewe huna article hata ya page moja kwenye gazeti lolote.
Jambo la tatu ni kwamba wiki juzi wakati Bunge hili linazinduliwa Pius Msekwa alialikwa kwenye semina ya wabunge na akatoa lecture nzuri.
Katika semina hiyo Spika Job Ndugai kawaambia kwamba wasiishie kumsikiliza Msekwa kwenye semina ile tu bali wachimbue vitabu vyake vilivyojazana kwenye library ya Bunge.
Jambo la nne ni kwamba kama unataka, japo huwezi, mwambie Pius Msekwa aache kuandika makala zake za "The Current Affairs" kila Alhamsi kwenye gazeti la Daily News.
Serekali inamtumia kila Alhamis kwenye Daily News halafu leo EATV wamemhoji unapiga kelele.
Hivyo kama wewe uliamua kuandika historia ya kukaa kimya basi acha dunia ya wasomi inayomheshimu Msekwa tumheshimu.
Msekwa ndiye mtu pekee ndani ya CCM anayeweza kuongea na wapinzani wakajibizana naye.
Cha muhimu ishauri CCM ipike vijana ma genious kama Nyerere alivyowapika hawa akina Msekwa na siyo hawa wa sasa hivi ambao wakiamka asubuhi wanatafuta tusifie lipi.
Tatizo ni kuongea yasiyowafurahisha hata kama ni ukweli basi lazima yataonekana mashudu.Ukiongea mashudu haitojalisha ww n nan???utapewa za uso tu
Nguvu gani iliyotumika kupeleka wapinzani bungeni? kama akina Mdee wametajiwa dau wakalikubali basi hiyo ndio shida ya wapinzani tuliyonao hakuna nguvu hapobiliyotumika.CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
Tatizo huelewi chochote.Mzee Msekwa amewahi sana kutoa tamko lake nazani naye anajua kinachowafukuzwa hao wabunge uanachama wao chadema sio tamko la Mbowe kwenye vyombo vya habari bali ni barua watakazoandikiwa hao watuhumiwa wakielezwa makosa yao na vifungwa na kanuni za chama chao walizovunjwa. Pia Spika wa Bunge kujulishwa rasmi kwa barua.
Sasa kabla ya haya yote kutekelezwa huwezi kusema aliyosema Mzee Msekwa. Tena barua hiya uhakikishe wahusika imewafikia, ambapo na wao wanayo haki ya kuchukua hatua za kimahakama kujitetea.
Nguvu gani iliyotumika kupeleka wapinzani bungeni? kama akina Mdee wametajiwa dau wakalikubali basi hiyo ndio shida ya wapinzani tuliyonao hakuna nguvu hapobiliyotumika.