Tafadhali Anne Makinda jihadhari kwani Pius Msekwa si saizi yako. Msekwa katumia usomi kusema akina Halima Mdee wamefutwa Ubunge

Uyo makinda ubongo wake umeharibiwa na zile dawa za kalikiti anazoweka kwenye nywele zake
 
Chadema hawaeleweki kabisa Halima alivyokuwa anaheshimiwa huko ufipa leo dah mijitusi wanayomtukana kha!
Mtu anafurahia Halima Mdee kufukuzwa kwenye chama na mitusi juu na kumwambia et ana njaa yani ni muda mchache sana kufunga na kufungua tu leo Mdee anatukanwa kiasi hicho na kuonekana ana njaa na hawataki hata kusikia upande wa Mdee ana yapi ya kuongea.

Sasa sijui hao wengine waliyobaki huko ndio hawana njaa au nao hawajapata tu fursa,maana muda bado sana kazi ndio kwanza imeanza.
 
Mkuu wewe sio tundu Lissu kweli wewe ...?
 
Si alikataa wito? Angejitetea bedroom basi.
 
Wanatoa maoni mazuri ya kikatiba wakiwa nje ya serikali, lakini wakiwa humo humo wanakula tu keki kwa mrija kama vile panya, kuwapumbaza watanzania
 
Kaongea fact ndo maana anapongezwa,wewe endelea kushabikia upuuzi wa Ndugai
Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekana mtu wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.

Tuache hii tabia.
 
Msekwa Leo anaitwa shujaa na wanampinga wanaitwa wajinga mweee
 
CCM ya sasa ya Jiwe inajua kupika vijana kama aina ya kina Makonda

Lakini pia ni wataalamu wa kununua viongozi vijana kutoka upinzani

Kwa msingi huo CCM ya sasa ni mabingwa wa kupika vijana wenye viburi na dharau wasio weza kuongoza lakini pia ni mabingwa wa kununua viongozi wasioweza kuwapika kutoka upinzani

Tayari Bashiru mate yanamtoka anawataka COVID 19 Ha ha ha haaaaa
 
Yani kwa haya uliyomshauri sijui kama atarudia tena kuongea utopolo kama huu.
 
Tatizo sio Msekwa bali watu ambao wanatabia ya kumsifia mtu pale anapoongea yale wanaopenda kuyasikia na ikitokea mtu huyo akiongea wasiopenda kuyasikia hata kama ni ukweli basi wanamshambulia na kumtoa akili.
Hivyo ndo sahihi, mtu akiongea kweli asifiwe, akiongea utumbo akemewe ili ajirekebishe.. Siyo ile tabia ya mataga ya kinafiki ya kusifu na kumuabudu mkulu kwa kila jambo hata pumba!!!
 
Huyu mdada aliwahi fungia raia njia ili aweke uzio wa hekalu lake, hivi yaliishia wapi
 
Umempa kuntu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…