Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Mama anamtetea mzee kwasabu anajua hizi zama tulizonazo saahiv...hata mi namuunga mkono au umesahau habar za kuambiwa mstaafu anawashwa washwa? Msekwa anatakiwa atulie alee wajukuu sahiv maana hajui kilichomo ndan ya serikal kwasasaMama Anne Makinda,
Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu.
Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki yake ya kutoa maoni kama Katiba inavyomruhusu.
Tatizo siyo Msekwa, tatizo ni wewe hutaki Msekwa aseme kwamba akina Halima Mdee si wabunge tena tangu walipovuliwa uanachama.
Msekwa kanukuu ibara ya 71(1)(e) sasa wewe ulitaka awe kipofu kwa ibara hiyo.
Sasa mama Makinda ngoja nikufundishe mambo matatu inayoelekea huyajui.
Jambo la kwanza ni kwamba Pius Msekwa ndiye mtu pekee aliyebaki hai aliyeshiriki kamati ya kuiunda Katiba hii mwaka 1977.
Kumbuka Mwenyekiti wa kamati hiyo ni alikuwa hayati Thabit Kombo na katibu akawa ni huyu Msekwa.
Wewe ulikuwa wapi wakati huo maana historia haikutaji.
Hivyo Pius Msekwa ni mtunzi wa Katiba yetu bila kujali ni mbovu au nzuri.
Waandishi wanamfuata kwa sababu ni mtungaji wa hiyi Katiba hawakufuati wewe uliyepata uspika kwa kigezo cha Samwel Sitta kukosa jinsia ya Kike mwaka 2010.
Jambo la pili ni kwamba Pius Msekwa ndiye kiongozi pekee ndani ya CCM kuandika vitabu vingi na vinasomwa duniani kote.
Ndiye msomi pekee aliyeandika mengi kuhusu Bunge. Wewe huna article hata ya page moja kwenye gazeti lolote.
Jambo la tatu ni kwamba wiki juzi wakati Bunge hili linazinduliwa Pius Msekwa alialikwa kwenye semina ya wabunge na akatoa lecture nzuri.
Katika semina hiyo Spika Job Ndugai kawaambia kwamba wasiishie kumsikiliza Msekwa kwenye semina ile tu bali wachimbue vitabu vyake vilivyojazana kwenye library ya Bunge.
Jambo la nne ni kwamba kama unataka, japo huwezi, mwambie Pius Msekwa aache kuandika makala zake za "The Current Affairs" kila Alhamsi kwenye gazeti la Daily News.
Serekali inamtumia kila Alhamis kwenye Daily News halafu leo EATV wamemhoji unapiga kelele.
Hivyo kama wewe uliamua kuandika historia ya kukaa kimya basi acha dunia ya wasomi inayomheshimu Msekwa tumheshimu.
Msekwa ndiye mtu pekee ndani ya CCM anayeweza kuongea na wapinzani wakajibizana naye.
Cha muhimu ishauri CCM ipike vijana ma genious kama Nyerere alivyowapika hawa akina Msekwa na siyo hawa wa sasa hivi ambao wakiamka asubuhi wanatafuta tusifie lipi.
Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. Chadema ni mabadilko na uhuru wa kweliSijajua huo mlinganisho una maana gani?
Hiyo sawa na mapenzi ya timu ya mpira. Maana wachezaji wanaondoka na kuja wapya viongozi wanabadilishwa yani timu inaweza kubadilika kila kitu likabaki jina tu ila bado mtu anaendelea kushabikia.Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. Chadema ni mabadilko na uhuru wa kweli
Ndugai mmoja ni sawa na headless chicken
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.Hiyo sawa na mapenzi ya timu ya mpira. Maana wachezaji wanaondoka na kuja wapya viongozi wanabadilishwa yani timu inaweza kubadilika kila kitu likabaki jina tu ila bado mtu anaendelea kushabikia.
Na ndiyo maana mie huwa naona vyama vya upinzani ni hovyo kushinda huyo ccm,maana kwa hayo maelezo yako ni kwamba Chadema kaiga kwa ccm na kazidisha kwa kuwatukana hao wanawake.2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.
Tayari alishateuliwa nadhani mwenyekiti wa bodi flani hv kama sio bima ya taifa ....Makinda anategemea apewe teuzi.
Msekwa haelewi na hataki huo upuuzi
Kwaiyo wewe Ni mlimbwendeKwao huko Ukarani Ukerewe na labda katika Bedroom yako, ila siyo Nchini kote. Tanzania hii nzima Wanaume ni akina Nyerere na Karume tu basi.
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.Na ndiyo maana mie huwa naona vyama vya upinzani ni hovyo kushinda huyo ccm,maana kwa hayo maelezo yako ni kwamba Chadema kaiga kwa ccm na kazidisha kwa kuwatukana hao wanawake.
Kama Babaako vile!Kwaiyo wewe Ni mlimbwende
Jinga utalijua tuuhKama Babaako vile!
Kama Mshua wako vile!Jinga utalijua tuuh
Nakupuza.. una akili za kidato Cha pili balehe inakusumbuaKama Mshua wako vile!
Umeshajitawaza baada ya kutoka katika Shughuli hapo Magomeni Mapipa kwa Macheni?Nakupuza.. una akili za kidato Cha pili balehe inakusumbua
Naona umeona uweke wazi wapi unapopata ujira wako SasaUmeshajitawaza baada ya kutoka katika Shughuli hapo Magomeni Mapipa kwa Macheni?
Tatizo ni kwamba leo Msekwa ataonekana mtu wa maana kwa sababu kaongea jambo lenye kuwafurahisha watu fulani ila Msekwa huyohuyo siku nyengine akiongea jambo lisilowafurahisha hata kama ndio ukweli basi ataonekana ni hovyo.
Tuache hii tabia.
Yani wewe ukiongea jambo ambalo mimi linanifurahisha basi nakusifia kwa sababu ulichoongea ndio nachotaka kusikia,ila siku ukiongea jambo ambalo halinifurahishi hata kama ni jambo la kweli basi nakutukana au nakuona ni mjinga na ulichoongea ni ujinga tu,kwanini? sababu ulichoongea sio nachotaka kukisikia.Kwani hao wanaomuona siyo wamaana siku akiwa sifia si watamuona wamaana pia, mtu anasifiwa akitenda mema akikosea anasema kuna tatizo gani hapo
Humu hatuangalii lugha, tunaangalia hoja. Big up mtoa madaMkuu hapa ndipo wengi mnapokosea.
Mtu mzima hata kama kakosea kwa maoni yako, bado anastahili lugha ya staha siyo kama hii uliyo tumia hapo juu.
Unapojisifu na kujipa hadhi ya mwanajumuiya ya wasomi basi tumia hekima na busara za kisomi katika mijadala ya kisomi.
Umejenga hoja nyingi nzuri sana kutetea maoni yako lakini lugha hii ya vijiweni imekuangusha sana.