Tafadhali anzisheni uzi wa kufundishana lugha za asili

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Helo,

Nataka kujifunza kichaga, sijui kabisaa. Napenda kujua kichaga, huku kilipo watu huniita mangi, mara mchaga kisa natokea Kaskazini. Natakankujua na kichaga.

[HASHTAG]#ruksa[/HASHTAG] kunikosoa
 
Wazo zuri.Ni muhimu kujua lugha ya Mama.
Kwa Tanzania Ni makabila machache yanaongea lugha ya Mama.
Wasukuma www.jw.org/suk
wahaya www.jw.org/hay
Kinyakyusa Abaketi ba Jihoba—Tovuti Jitu: jw.org

Kihehe Awolelesi va Yihova—Itovuti Lyetu: jw.org
Kimakonde Mashaidi va Yeova—Webisaite Imanyike na Lilamulo: jw.org

Furahia kujifunza lugha ya mama
 
Helo,

Nataka kujifunza kichaga, sijui kabisaa. Napenda kujua kichaga, huku kilipo watu huniita mangi, mara mchaga kisa natokea Kaskazini. Natakankujua na kichaga.

[HASHTAG]#ruksa[/HASHTAG] kunikosoa

kichaga cha wapi?
 
Lugha yoyote ile ukitaka kujifunza unaanza na mitusi kwanza " maolo ginywe wose" mbe wadumyaga mundonde.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Niko siriasi nataka kujua kichaga

Scotland Yard Kitengo
 
Helo,

Nataka kujifunza kichaga, sijui kabisaa. Napenda kujua kichaga, huku kilipo watu huniita mangi, mara mchaga kisa natokea Kaskazini. Natakankujua na kichaga.

[HASHTAG]#ruksa[/HASHTAG] kunikosoa

Ili iwe nini? Kwanza hakuna Lugha ya Kichaga Dunia hii!
 
Back
Top Bottom